banner

.

.

Saturday, 8 February 2014

Timu ya Real Madrid yaibamiza mabao 4-2 Villarreal, yakwea kileleni la liga.


bale 32a22

REAL Madrid imeifumua mabao 4-2 Villarreal katika mchezo wa La Liga usiku wa jana na kupanda kileleni mwa ligi hiyo, Cristiano Ronaldo akikosekana kutokana na kuanza kutumikia adhabu yake ya mechi tatu.

Tupe maoni yako