Usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa 92 Hotel ama Shalom Tabernacle
church kulifanyika mkesha wa kwanza wa aina yake ufahamikao kama
Motivational Friday Night chini ya kundi matata la injili nchini la
Glorious Worship Team, ambao wamerejea tena kuwakusanya wapendwa na
marafiki zao kila Ijumaa kuanzia jana na ijumaa zote zinazokuja kwahiyo
mdau usikose kila siku za ijumaa ndani ya Hotel 92 karibu na Sansiro
Shekilango jijini Dar es salaam.
Barikyiz na Paul Clement |
Blogger Rulea Sanga akizungumza jambo pembeni Paul Clement akimsikiliza |
Hakika ilipendeza |
MD wa GWT Immanuel Mabisa akiliungurumisha bass |
GWT wadada wakienda kizimbabwe zaidi. |
Ndani ya uwepo wake ni rahaa |
Tupe maoni yako