Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne
Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji
aliofuatana nao katika ziara ya siku moja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne
Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Tupe maoni yako