banner

.

.

Thursday, 13 February 2014

POLISI WAWAPIGA STOP WANAHABARI LEO KATIKA USIKILIZWAJI WA KESI YA DAUDI MWANGOSI KUINGIA MAHAKAMANI...


wanahabari  Iringa  wakiwa  nje  ya  mahakama  baada  ya  polisi  kuwazuia  kuingia  mahakamani kwa  muda
Wakati  mahakama  kuu kanda  ya Iringa inaanza leo   kusikiliza  keshi  ya mtuhumiwa wa mauwaji ya aliyekuwa mwandishi wa  kituo cha Chanel Ten Iringa na mwenyekiti wa chama cha  waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) Daudi Mwangosi
Mtuhumiwa huyo wa mauwaji askari  wa FFU  Pacificus Cleophase Simon atafikishwa mahakamani hapo  kesho  kwa  ajili ya kesi hiyo kuanza  kusikilizwa polisi  wawapiga stop  wanahabari  kuingia  mahakamani .

Huku  kamanda  wa  polisi  mkoa  wa  Iringa  Ramadhan Mungi akipinga  uamuzi  huo wa  polisi kuwazuia  wanahabari  hao


Mtuhumiwa  huyo anatuhumiwa  kumuua Mwangosi kwa  bomu katika vurugu za wafuasi  wa Chadema na polisi katika kijiji  cha Nyololo wilaya ya Mufindi mwaka juzi  wakati wa shughuli za Chadema kufungua matawi ya chama  hicho.

Tupe maoni yako