HOTELI ya Spitbank Fort ikionekana kwa juu ikiwa imejengwa mwaka
1879 katikati ya kina maji ya habari nchini Uingereza ikiwa na umri wa miaka 134.
Hapa ikionekana katikati ya kina cha maji ya bahari.
Sehemu ya mbela ya hoteli hiyo.
Ndani
Sehemu ya kupunga upepo
mandhali ya ndani.
hii nayo ni sehemu nyingine ya kupunga upepo
jiko
hapa ni chumbani
Mandhali wakati wa jiono muonekano wake.