banner

.

.

Monday, 10 February 2014

MECHI KATI YA MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6

JUMLA  ya shilingi milioni  25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine  timu  ya Mbeya City kwa  goli 2 - 1.

Tupe maoni yako