Mama Mchungaji Grace Chambo akiwa na Mume wake Mchungaji John Chambo kutoka kanisa la Eagt Revival Glory centre la Jijini Mwanza wakipata msosi.
Mchungaji Mkongwe katika jiji la Mwanza Mchungaji Kihayile akiwa nae ni mmoja wa Wachungaji waliohudhuria sherehe ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza kuanza mwaka huu 2014 vizuri.
Mama wachungaji mbalimbali wakiwa na Wachungaji ambao ni Waume zao wakipata chakula kwa pamoja katika ukumbi wa Hotel ya Citizen Jijini Mwanza.
Hapa ngoma ya Msosi inogele.
Pasta Paul Thomas Nyabagaka akitabasamu mbele ya kamera ya Matukio Media katika hafla ya Kumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
Mama Mchungaji Racheal Celcius akiwa na Mchungaji Celcius Byarugorora wa Kanisa la Elishadi Eagt Temeke Nyakato wakipata maakuli ya uhakika huku wakimtukuza Mungu kwa uumbaji wa vitu vyote.
Tupe maoni yako