Maelfu ya watu wakifuatilia kwa ustadi mahubili ya mch,Bonge
Mafundi mitambo awakuwa nyuma kuakikisha mambo yanakwenda vizuri
Mzuka wa sifa huoooo...
Ajafa ni nguvu za Roho Mtakatifu hizo
Mama akishuhudia matendo makuu ya Mungu aliyo mtendea.
Safi sana,miujiza ilitawala maari pa mkutano
JOELY MADUKA.
KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA WATU WOTE WAMETAKIWA KUJUA KUWA NGUVU YA MUNGU HIPO NA INATENDA MIUJIZA.
HAYO YAMESEMWA NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA EAGT,NYAMBITI,MCH,BONPHACE BONGE,WAKATI AKIUBILIA KATIKA MKUTANO WA NENO LAMUNGU.
AMESEMA KUWA KWA SASA WATU WENGI WAMEKUWA NA IMANI KUWA NGUVU ZA MINGU HAZIPO NA KUDAHI KUWA NGUVU ZINAZO TENDA KAZI NI ZA NCHI YA NAGERIA JAMBO AMBALO SI LA KWELI.
Tupe maoni yako