banner

.

.

Sunday, 19 January 2014

BAADHI YA WASANII WAKALI KUTOKA JIJINI MWANZA WANAOPATIKANA KATIKA FILAMU MPYA IITWAYO RAFAEL INAYOTARAJIA KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNIIIIIIIIIIII.

Stering wa Filamu ya RAFAEL Masele Malekela wa kwanza kutoka kushoto akiwa na Msanii Bablee na Rose Kasiga kutoka Mwanza wakati wakishuti filamu mpya kali yenye maadhari safi katika mwonekano mzuri mbele ya kamera.

 Director wa Movie mbalimbali nchini Daddy James Mawalla wa kwanza kutoka kushoto akiwa wa wasanii wakali kutoka Mwanza ambao wameamua kuleta mapinduzi kaika tasnia ya utengenezaji wa Filamu hapa nchini wakianzia jijini Mwanza.



Mastering wa Filamu Mpya ya Rafael wakiwa katika mwonekano Masele Malekela na Daddy James Mawalla.


                                       Msanii Bablee na Daddy James Mawalla.

                Msanii Mkali katika uigizaji Rose Kasiga katika pozi la ukweee hapaaaaaaaa
                                                 Unaona na pozi hiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
          Kazi na dawa, hapa njaaa imewakamata wasanii ikabidi wale maembe ili kuipunguza..
Msanii Nora a.k.a Latifa akiwa na Stering wa Filamu ya Rafael wakiangalia kwenye simu baadhi ya matukio katika mtandao.
Hawa wasaniii waone hivi, walichokifanya ndani ya filamu mpya ya Rafael huwezi ukaamini kuwa ni wao maana makamuzi humo ndani ni ya kutisha sanaa, kaaa mkao wa kuipokea.
 Msaanii Jackline Jackson wa kwanza kutoka kulia katika mwonekano wa kisekeretari nae hakuwa nyuma katika kuweka reception yake kwenye kamare ya Matukio Media Blog
Majambazi hatari katika filamu ya Rafael wa kwanza kutoka kushoto, Adam Mpandachombo, Mfaume Makoba a.k.a FBI, Nora, wakiwa wamewateka wazazi wake Rafael wakiwapeleka msituni huku wakiwa wamewafunga vitambaa usoni.

Tupe maoni yako