Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Wawekezaji katoka Nchini Uholanzi wakizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pamoja na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ziara ya siku moja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Tupe maoni yako