Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa neno la Utangulizi kabla ya Rais Kikwete kufungua kikao hicho na kukiongoza |
Rais Jakaya Kikwete, Rais Dk. Shein na Kinana wakiwa wamesimama kuongoza wajumbe ambao pia walisimama kuwakumbuka viongozi waliofariki hivi karibuni |
Wajumbe Makamu wa Rais Dk. Bilal na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa ukumbini |
Wajumbe wakiwa ukumbini |
Wajumbe ukumbini |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiteta jambo na mjumbe mwenzake |
Wajumbe ukumbini |
Wajumbe wakiwa ukumbini |
Taswira ya wajumbe ukumbini wakati JK akiongoza kikao |
Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu, Shigela na Katibu Mkuu wa UVCCM wa sasa Mapunda wakichati ukumbini |
Mwigulu Nchemba na Nape wakiteta jambo |
Wajumbe ukumbini |
Wajumbe ukumbini |
Wajumbe Spika wa Bunge Anna Makida na Spika wa Barza na wawakilishi Mzee Kificho wakiwa ukumbini |
Ma-Ankali wakiwa ukumbi wa NEC wakati kikao hicho kinafunguliwa na JK |
Wajumabe Shamsivuai Nahodha na Ally Karume wakiteta jambo nje ya ukumbi. |
Tupe maoni yako