Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka
kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika
ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa
Makuu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 10, 2014.
Tupe maoni yako