KANISA la Kkkt Imani Makongoro Mwanza leo limezindua Jubilee ya Miaka 25 toka kuanzishwa kwake, huku Watumishi wa Mungu na Wakristo mbalimbali wakihudhuria ibada hiyo ambayo imeongozwa na Askofu Andrew Gulle wa Dayosisi ya Mwanza.
Uzinduzi huo ambao umekwenda sambamba na harambee kubwa la kuchangisha shilingi
milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Shule Imani Lutheran School.
Kilele cha Maadhimisho hayo kitafanyika tarehe 31.8.2014 ambapo miradi mbalimbali itazinduliwa na kuwekwa wakfu.
Mgeni rasmi ya harambee Askofu Mkuu wa Makanisa ya Kkkt Tanzania Alex Malasusa amewashukuru washarika wa Imani kwa moyo wa kumjengea Mungu kanisa zuri na la kifahari.
Wakristo wa makanisa la Kkkt wakiandamana kuelekea kanisa lilipo. Pichani anaonekana bwana Flender Lemma Mkurugenzi wa Semina Entertainment mwenye shati yenye mistari na baadhi wa waksrito wakimatch.
Mlolongo mrefuu kama inavyoonekana..
Watumishi wa Mungu wakisoma neno kabla ya kukata utepe ili waingie kuelekea kanisani.
Askofu Andew Gulle na Askofu Alex Malasusa pichani ambaye ndiye mgeni rasmi..
Utepe umekatwaaaa.
Askofu Mkuu wa Kkkt Tanzania Alex Malasusa..
Askofu Alex Malasusa akiongoza wakristo wote kuingia ndaniiii ya kanisa.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimbaaa.
Wapigaji wakipiga muziki wa Kijitonyama.
Mwonekano wa kanisa watu wamekaaaa.
Watumishi wa kanisa la Kkkt wakionekana mbele ya kameraa.
Kwaya ya Imani kkkt Makongoro wakiimba kwa hisia kali kuushusha uwepo wa bwana katikati ya kusanyiko..
Wazungu nao walikuwepo kama inavyoonekanaa.
Uimbaji unaendelea kanisani...
Vitabu vya Mungu navyo vilikuwepo kama Biblia na vinginevyo kama inavyoonekana.
Mwonekano wa Kanisa la Kkkt Imani Makongoro Mwanza.
Watoto nao wakapata flash...
Tupe maoni yako