Wasanii wa Filamu kutoka Mwanza wakiigiza katika utengenezaji wa Filamu ya Rafael ambayo itakuwa moto wa kuotea mbali katika tasnia ya uigizaji.
Hapa wasaniii wako msituni Igombe.
Hapa Msanii wa Latifa a.ka Nora na Starling Rafael ambaye jina lake halisi Dady Mawalla James.
Msanii Dady akiwa na Msanii Rachael nyumbani.
Hapa ni hospitali tunacheza scene.
Hapa Doctor Theresia Mabula akiwa na Bablee pamoja na Msanii Masele a.ka Rachael wakiangalia kinachoendelea.
Kameraman Fabian akiwa amechoka mpaka akasinziaa,,
Tupe maoni yako